Pages

Jumatano, Julai 15, 2015

"ANAYEKUPENDA ATAKUPA FARAJA"

Katika maisha tunakutana na changamoto nyingi sana, na pale unapopata matatizo ukiwa upo peke yako unaumia sana, lakini kama kuna watu wa karibu ambao wanakujali, wanakupenda kwa namna moja au nyingine kwa kipindi ambacho upo katika wakati mgumu wanakupa faraja ni jambo zuri sana.

 Pia kwa wale ambao wapo kwenye uhusiano, kama umeoa au umeolewa, mwenza wako ni faraja yako wakati wote hususani kama anajua thamani yako hawezi kufurahi akikuona unayo huzuri sikuzote anayekupenda atakupa faraja.TUPENDANE KATIKA SHIDA NA RAHA

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom