Pages

Jumatano, Julai 01, 2015

"KUWA NA UPENDO ZAIDI,,KULIKO KUWA NA CHUKI KATIKA MAISHA YAKO"

Kama ilivyokawaida katika maisha tunakutana na kero nyingi sana ambazo kwa namna moja au nyingine zinaweza kutufanya kuwa na chuki na baadhi ya mambo au watu wanaotuzunguka lakini ili uweze kuishi maisha ya furaha siku zote jaribu kuwa mtu mwenye upendo, ishi na watu vizuri, samehe mara saba sabini bila kinyongo,wapende wakubwa kwa wadogo, wapende watu wote bila ubaguzi.

 Kuwa na upendo zaidi ni muhimu sana kuliko kuwa na chuki zisizokuwa na kichwa wala miguu, kwani unaambiwa chuki hazijengi bali zinabomoa, upendo unajenga maisha mazuri na yenye furaha milele.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom