Pages

Alhamisi, Januari 14, 2016

KITABU CHA BEYONCE NA JAY Z KIMEINGIA SOKONI TAYARI SI CHA KUKOSA.

  •   Mabibi na mabwana kitabu cha Maisha, Mapenzi na Maumivu: Beyonce na Jay Z kimeingia sokoni tayari. Hadi Ijumaa ya wiki hii kitakuwepo kwenye bookshop zote kubwa Dar es Salaam na mikoa mingine. Kinauzwa kwa shilingi 10,000 tu. 

     
    Kama upo Dar na unapenda kuletewa kitabu hiki popote ulipo utalipia shilingi 15,000 tu kwa kutuma kwa M-Pesa namba 0766173514 au Tigo Pesa 0712834829. Ukituma tafadhali tuma na sms kueleza mahali ulipo na utaletewa kwa haraka kama spidi ya radi popote ulipo Dar. Please ukiguswa nisaidie kushare taarifa hii. Ujumbe huuNa Skytanzania kutoka instargram mtunzi wa kitabu hiki.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom