Pages

Ijumaa, Februari 26, 2016

"Usiyadharau mawazo yako"

Katika maisha huwa tunawaza mambo mbalimbali ikiwemo maendeleo, ni muhimu sana kuwa makini ili usidharau kile unachokiwaza kwani yawezekana ukaona hakina maana lakini kumbe ni kitu kikubwa sana. 

Iwapo utathubutu kufanya kile unachokiwaza, basi ujue wewe ni mshindi haijalishi umefanikisha au la, kwani hakuna mafanikio bila changamoto.USIKATE TAMAA. Nawapenda nawatakia weekend njema.

Hakuna maoni:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom