Tazama pichani mwanamke akimbamiza mwanamume,, wanaume wanaofanyiwa ukatili na wake zao wapo na chanzo mara nyingi ikiwa ni wivu wa kimapenzi,migogoro,na dharau. inawezekana kuna siri nyingi sana katika baadhi ya ndoa za waliowengi. MAPENZI NI KUPENDANA,KUJALI, NA KUHESHIMIANA NA SI KUFANYIANA UKATILI. |
Maoni 3 :
nanukuu:- "MAPENZI NI KUPENDANA,KUJALI, NA KUHESHIMIANA NA SI KUFANYIANA UKATILI." nimeupenda huu msomo Adela. Ni kweli kabisa kuna wanaume wanaoteswa pia.
@Yasinta tuko pamoja wangu
Duh jamani, hivi kwanini kuwe na hali hiyo `ukatili' ili iweje, mtu anapata faida gani? sijui..Adela, tupo pamoja mpendwa!
Chapisha Maoni