My Young sister Irene Kavishe pichani mwanafunzi kidato cha nne anapenda kuwa Accountant amesema "mimi nitajiunga kwenye mitandao kama facebook na twitter nikimaliza kidato cha sita kwa sasa naona ni vyema nikatumia mtandao kutafuta material ya kujisomea ili niweze kufaulu vizuri nawashauri wanafunzi wenzangu tutumie mitandao kujisomea zaidi" nakupenda sana mwaya Kila la heri mdogo wangu kipenzi... |
Maoni 6 :
ya ni kweli kwa mwanafunzi kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, kuna mpotezea muda mwingi na kusababisha uwezo wake kitaaluma, kupungua. vile vile ni kweli mwanafunzi anawezakunufaika kielimu kwa kupata vyanzo mbali mbali vya taarifa ambazo anatumia katika masomo yake, cha msingi nikuwa makini na content unazosoma kwenye internet, kwasababu internet ina mkusanyiko wa resources nyingi na nyingine ni fake. so hakikisha unapata materials zako kwenye website na waandishi wanaoaminika. unaweza ukaanzia hapa www.eric.ed.gov
Huyu ana mawazo ya kisomi, twakutakia mafanikio mema
Daah umefanana na mdogo wako u guys are so hot Mungu amlinde vyema katika masomo yake
she is cute asome kwa bidii
hajakutana na wajanja wakamzidi kete.
Nakuombea mafanikio mema ufike mbali zaid
Chapisha Maoni