Alhamisi, Februari 02, 2012

"wanafunzi tusome kwa bidii tutumie mitandao kwa kujisomea zaidi kuliko kuchat"

My Young sister Irene Kavishe pichani mwanafunzi kidato cha nne  anapenda kuwa Accountant  amesema "mimi nitajiunga kwenye mitandao kama facebook na twitter nikimaliza kidato cha sita kwa sasa naona ni vyema nikatumia mtandao kutafuta material ya kujisomea ili niweze kufaulu vizuri nawashauri wanafunzi wenzangu tutumie mitandao kujisomea zaidi" nakupenda  sana mwaya  Kila la heri mdogo wangu kipenzi... 

Maoni 6 :

Unknown alisema ...

ya ni kweli kwa mwanafunzi kutumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, kuna mpotezea muda mwingi na kusababisha uwezo wake kitaaluma, kupungua. vile vile ni kweli mwanafunzi anawezakunufaika kielimu kwa kupata vyanzo mbali mbali vya taarifa ambazo anatumia katika masomo yake, cha msingi nikuwa makini na content unazosoma kwenye internet, kwasababu internet ina mkusanyiko wa resources nyingi na nyingine ni fake. so hakikisha unapata materials zako kwenye website na waandishi wanaoaminika. unaweza ukaanzia hapa www.eric.ed.gov

emuthree alisema ...

Huyu ana mawazo ya kisomi, twakutakia mafanikio mema

Bila jina alisema ...

Daah umefanana na mdogo wako u guys are so hot Mungu amlinde vyema katika masomo yake

Bila jina alisema ...

she is cute asome kwa bidii

Bila jina alisema ...

hajakutana na wajanja wakamzidi kete.

emanuel pantaleo alisema ...

Nakuombea mafanikio mema ufike mbali zaid

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom