Pages

Jumatatu, Septemba 16, 2013

SIKILIZA SEHEMU YA TISA NA SEHEMU YA KUMI MWISHO WA SIMULIZI YA DADA POA. FAHAMU NINI MWISHO WA MAISHA YA MANKA
NA HII HAPA CHINI NI SEHEMU YA KUMI NA YA MWISHO.

Maoni 3 :

Bila jina alisema ...

simulizi imenigusa sana imenifanya niwe nakumbuka maisha yangu ya nyuma nimelia sana na simulizi hii kwa kweli ni nzuri na inafundisha.hongera sana adela kwa simulizi nzuri

Bila jina alisema ...

Kwanza kabisa pole kwa matatizo,tulisubiri simulizi kwa wiki nzima. Pili tunashukuru sana kwa simulizi zako nzuri zinazofundisha I wish vijana wangekuwa wanatembelea blog yako wangejifunza mengi katika maisha yao ya kila siku. Mungu akubariki sana nasi tunakupenda.

Bila jina alisema ...

duuuuuu hi kweli ni zaidi ya mateso, simulizi inasikitisha mnoo lakini kilichonifurahisha mlango wa kutokea ulipatikana kama ahadi za MUNGU zilivyo.wanahitajika watu kama Benny kurekebisha watenda mabaya na waonezi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

share bottom